Baadhi ya watoto yatima wa Kituo cha Friends of Don Bosco kilichopo Kimara jijini Dar es Salaam wakicheza ngoma ya Mganda wakati wa hafla wa kukabidhiwa msaada wa vyakula na vifaa mbalimbali vyenye thamani ya shilingi milioni 4.5/- vilivyotolewa na Benki ya KCB Tanzania hivi karibuni