Usilolijua Wilayani Newala, Mtwara Katika Picha…!

Biashara Mjini Newala...!

Biashara Mjini Newala…!

Mitaa anuai ya Mji wa Newala, Mtwara.

Mitaa anuai ya Mji wa Newala, Mtwara.

Eneo linalojulikana kama Uwanja wa Ndege, Wilaya la Newala, Mtwara.

Binti kijijini Luchingu akielekea kusaka maji kwa matumizi.

Mama akiandaa korosho na wanae katika Kijiji cha Luchingu, Wilayani Mtwara.

Hata vijijini nyumba tunajenga kimpangilio...angalia mtaa huuo.

Hata vijijini nyumba tunajenga kimpangilio…angalia mtaa huuo.

Mitaa anuai ya Mji wa Newala, Mtwara.

Mitaa anuai ya Mji wa Newala, Mtwara.

Biashara Mjini Newala...!

Biashara Mjini Newala…!

Mitaa anuai ya Mji wa Newala, Mtwara.

Mitaa anuai ya Mji wa Newala, Mtwara.

Msimu wa Korosho! Baadhi ya vituo vya kununulia zao la Korosho toka kwa Wakulima wa zao hilo Newala.

Kituo cha Radio Newala, Newala FM kinavyoonekana katika picha.

Mama na watoto wakiandaa korosho kwa ajili ya kuzibangua.

Jengo la Ofisi za Mamlaka ya Mjini Mdogo Newala.

Picha na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Nachitulo baada ya mazungumzo.

Mjini Mtwara....!

Mjini Mtwara….!

Sehemu ya Mtaa wa Magomeni Mjini

Sehemu ya Mtaa wa Magomeni Mjini

Mjini Mtwara....!

Mjini Mtwara….!

Sehemu ya Mtaa wa Magomeni Mjini Mtwara

Sehemu ya Mtaa wa Magomeni Mjini Mtwara