
Burudani ya ngoma ikiendelea katika Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika Ndani ya Tamasha la Jinsia lililofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Usu Mallya (wa pili kulia) akiwa na wageni wake pamoja na wanachama wa TGNP

Baadhi ya wageni waalikwa ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).

Baadhi ya wafanyakazi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania wakiwa na wageni anuai ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika Ndani ya Tamasha la Jinsia

Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi (katikati) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia.