Akina mama wa Dareda wakisikiza kwa makini maelezo kutoka kwa wataalamu wa lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Chakula, ambao walikuwa wanawafundisha masuala ya lishe bora na umuhimu wa kutumia vyakula vyenye virutubishi.
Mtaalamu wa lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Chakula, Godrey Mbaruku akiendesha semina ya umuhimu wa virutubishi kwa akina mama wa kitongajo cha Dareda na vitongozi vyake mkoani Manyara yaliyofanyika katika Hospitali teule ya Dareda.
Mtaalamu wa lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Chakula, Dk. Generose Mulokozi, akiendesha semina ya umuhimu wa virutubishi kwa akina mama wa kitongajo cha Dareda na vitongozi vyake mkoani Manyara yaliyofanyika katika hospitali teule ya Dareda.