
Kupata mafuta ni kwa foleni na mgawo kama enzi zileeeeeee....za ulanguzi!

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wamepanga foleni katika moja ya vituo vya Gapco kununua nishati ya mafuta

Baadhi ya magari yakiwa yamepanga foleni kuingia katika kituo cha mafuta cha Gapco kilicho Mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam jana.