Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi hiyo, wa mwaka wa fedha 2012-2013
na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014, katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar (wa pili kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahaya Mzee. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi hiyo wa mwaka wa fedha 2012-2013
na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014, katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]