Viongozi wa Meza Kuu wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Aloyce Nzuki (wa pili kulia) pamoja na Mratibu Mtaalam wa NRA-UN, Aine Mushi (wa kwanza kulia) wakizinduwa Ripoti ya Maendeleo ya Kiuchumi ya UNCTAD 2017; iliyobeba ujumbe wa Sekta ya Utalii Afrika jijini Dar es Salaa.

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Aloyce Nzuki (kushoto) akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Maendeleo ya Kiuchumi ya UNCTAD 2017; iliyobeba ujumbe wa Sekta ya Utalii Afrika jijini Dar es Salaa. Kulia ni Mratibu Mtaalam wa NRA-UN, Aine Mushi akifuatilia kwa makini.
Sehemu ya wanahabari na wageni waalikwa wakiwa katika uzinduzi huo.
Mdau wa Utalii, na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini, Padre Joseph Matumaini akichangia jambo katika mkutano huo.
Sehemu ya wawakilishi kutoka taasisi za Kimataifa wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Ripoti ya Maendeleo ya Kiuchumi ya UNCTAD 2017; iliyobeba ujumbe wa Sekta ya Utalii Afrika jijini Dar es Salaa.
Baadhi ya washiriki katika hafla hiyo wakitoa michango yao.
Mtafiti wa NRA, Onesmo Kenneth kulia akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa washiriki wa hafla hiyo. Kushoto ni Mchumi kutoka AfDB, Prosper Charle.
Mdau wa Utalii, Bw. Emmanuel Ole Naiko akichangia jambo katika uzinduzi wa Ripoti ya Maendeleo ya Kiuchumi ya UNCTAD 2017.
Baadhi ya washiriki katika hafla hiyo wakitoa michango yao.
Ofisa Habari wa UNIC, Stella Vuzo (kulia) akifafanua jambo katika majadiliano kwenye uzinduzi wa Ripoti ya Maendeleo ya Kiuchumi ya UNCTAD 2017; iliyobeba ujumbe wa Sekta ya Utalii Afrika jijini Dar es Salaa. Kushoto ni Mtaalam na Mratibu wa UN, Aine Mushi.