Tafadhari soma hii ili uangalie madhara yanayopatikana kupitia
#FLUORIDE inayowekwa kwenye dawa za meno, Kwa kuthibitisha hili kasome box la dawa ya meno unayotumia yenye fluoride utakuta wameandika #usimeze na mtoto chini ya miaka sita apige mswaki chini ya uangalizi wa mzazi na hata ukipiga ukiswaki basi sukutua sana kiusahihi na kiumakini, kwa sababu Fluoride ni moja kati ya madawa yanayoleta kansa duniani kupitia tafiti mbali mbali na magonjwa zaidi ya hayo
JIULIZE Je!
1. Una magonjwa gani kati ya hayo yaliyotajwa kama madhara ‘side effects’ inayotokana na fluoride inayopatikana kwenye dawa ya meno?
2. Na je ulimeza mara ngapi toka uzaliwe? Na mwanao amemeza mara ngapi toka azaliwe? Na huwa unamsimamia?
Kwa kuwa magonjwa mengi hayaanzi ghafla huwa ni ya siku nyingi pengine miaka ndo huja kujitokeza baadae pasipo kujua sababu kwa hiyo #Fluoride ni moja ya vi sababishi vya magonjwa yote haya wengi hukwepa dawa za meno nzuri na salama ambazo hazina
#Fluoride zilizo natural hata ukimeza hazina madhara kisa wanasema ni gharama sana ila msisahau kinga bora kuliko tiba
Tafakari gharama ya kutibia kansa ni kubwa zaidi ya kununua dawa ya meno hata ikigharimu elfu #20,000 ukaokoa maisha yako na ya familia nzima kuepukana na magonjwa tajwa hapo juu!
#kamaumependatopic #likefollowanshare na wengine wapate kufahamu #knowledgeispower