Ufisadi wa Ajira wa Kutisha Idara ya Uhamiaji

Nembo ya Idara ya Uhamiaji

Nembo ya Idara ya Uhamiaji


MATOKEO ya Usaili wa nafasi za Konstebo wa Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti Julai 23, 2014 ameonesha kuwa katika Idara hiyo Watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa Idara hiyo hawawezi kupata ajiya ndani ya Idara hiyo ya Serikali.

Hii ni kutokana kwamba majina ya wengi walioitwa kazini ni watoto au ndugu wa wafanyakazi wa idara hiyo. Hata hivyo tayari usahili huo umefutwa kutokana na malalamiko ya wengi. Angalia ufisadi wa ajira hizo katika majina yafuatayo.

1. Abdulhaq Amin Mandemla – Mtoto
wa afisa Uhamiaji Amin Mandemla
2. Alphonce Kishe – Mtoto wa Afisa
Uhamiaji Aleluya Kishe
3. Asha Burhani Idd – Ndugu ya Afisa
Uhamiaji Tatu Burhani Idd
4. Beatrice Temba – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Joseph Kasike
5. Geofrey Justine Mhagama – Ndugu
ya Afisa Uhamiaji Rose Mhagama
6. Iginga Daniel Mgendi – Mtoto wa
Afisa Uhamiaji Daniel Mgendi
7. Issack Michael Makwinya – mtoto
wa aliyekuwa Afisa Uhamiaji
Makwinya
8. John Alfred Mungulu – mtoto wa
Afisa Uhamiaji Alfred Mungulu
9. Joseph A. Milambo – mtoto wa
Karani wa Uhamiaji Milambo
10. Michael J. Choma – mtoto wa Afisa
Uhamiaji John Choma
11. Shimba H Zakayo – mtoto wa Afisa
Uhamiaji Zakayo Mchele
12. Upendo E. Mgonja – mtoto wa Afisa
Uhamiaji Mgonja
13. Vaileth A. Kidesu – mtoto wa Afisa
Uhamiaji Adam Kidesu
14. Elizabeth Edward – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Edward Martin
15. Ester Mahirane – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Mahirane
16. Basil Lucian John – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Dismas Lucian
17. Frank E Kajura- Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Kajura
18. Jacob P. Ulungi – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Magnus Ulungi
19. Janeth John Milinga – Ndugu wa
aliyekuwa Afisa Uhamiaji Milinga
20. Janeth R Lukuwi – Ndugu wa Afisa
Uhamiaji Eliza Lukuwi
21. Joseph N. Yondani – Mtoto wa Afisa
Uhamiaji Mary Yondani
22. Leila khatib Irovya – Mtoto wa Afisa
Uhamiaji Abbas Irovya
23. Lucian F. Mlula – ndugu wa Afisa
Uhamiaji Dismas Mlula
24. Neema Kasian Lukosi- Ndugu wa
Afisa Uhamiaji Zubeda Abbas
25. Pendo D. Gambadu – ndugu wa
Afisa Uhamiaji Gambadu
26. Paschalia E. Mwenda – ndugu wa
Martin Edward mwenda
27. Theresia Ernest Kalunde – Mtoto wa
Ernest Kalunde
28. Veronica G Vitalis – Mtoto wa
aliyekuwa Afisa Uhamiaji Vitalis
Mlay
29. Victor G. Mlay- Mtoto wa aliyekuwa
Afisa Uhamiaji Vitalis Mlay
30. Catherine J. Mapunda- mtoto wa
Afisa Lucy Mapunda
Hii ni sampuli tu yaani nimeorodhesha moja ya tatu tu kwani zaidi ya asilimia tisini ni watoto na ndugu wa Maafisa
Uhamiaji. Nadhani ingekuwa vyema wasingekuwa wanatangaza nafasi hizi bali wawe wanagawiana ndani kwa ndani.