Ufaransa Yapanwa na Switzland Euro

ufaransa

Mechi kali ilikuwa ya vuta nikuvute kati ya Switzland na wenyeji wa michuano hiyo Ufaransa lakini wakaishia kutoka uwanjani pasipo kutikisa nyavu yaani sare ya 0 – 0.

Wachezaji mahili wa timu hizo waliishia kwenye Milingoti ya magoli iliyopata kazi ya ziada kutokana na mikwaju mikali iliyogonga mwamba mara kadhaa.

Pogba akiwakosakosa waswiss mara kadhaa hivi. Kwa sasa Kundi hilo linaongozwa na Ufaransa pointi 7, Switzland pointi 5, Albania 3, Romania 1.

kund