UDOM Waendesha Mdahalo Maadhimisho Miaka 52 ya Muungano

 Mwenyekiti wa Jmuiya ya Wanataaluma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA),  Mhadhiri Msaidizi, Edson Baradyana akitoa shukurani kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Lukimbana kwa kukubali kufungua kongamano hilo

Mwenyekiti wa Jmuiya ya Wanataaluma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOMASA),  Mhadhiri Msaidizi, Edson Baradyana akitoa shukurani kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Lukimbana mara baada ya kufungua mdahalo wa miaka 52 ya Muungano uliofanyika katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma.

 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Lugimbana akizungumza na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM -UDOMASA), wakati wa mdahalo wa miaka 52 ya Muungano uliofanyika katika Ukumbi wa Chimwaga  uliopo UDOM. Kulia ni Makamu Mkuu wa Chuo  hicho,  Professa Idrissa Kikula.

 

Baadhi ya wanachuo na wanataaluma wakishiriki kwenye kongamano hilo la miaka 52 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

 

Jopo la wawezeshaji wa kongamano hilo

 

 

 

RC Rugimbana akizungumza jambo na Makamu Mkuu wa Chuo cha UDOM, Kikula kabla ya kuondoka. Kushoto ni Mwenyekiti wa Udomasa, Paradyana.

 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Lugimbana (wa pili kushoto) akizungumza jambo na baadhi ya wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), mara baada ya kufungua mdahalo huo.

Mhadhili wa UDOM, Profesa Davis Mwanfupe akitoa mhadharakuhusu umuhimu wa wanataaluma kuuenzi Muungano.

 

(Picha kwa Hisani ya Kamanda wa Matukio Blog)