Uchaguzi wa Wajumbe wa Baraza la Katiba Mtaa wa Kizinga

Mgombea mwingine Marry Chilala akinadi sera zake kwa Wananchi ambapo naye pia aliibuka mshindi wa pili wa ujumla na mshindi wa kwanza kwa upande wa kundi la Wanawake.

Picha ya juu ni mgombea, Emmanuel John akinadi sera zake kwa umma ambapo naye pia aliibuka mshindi wa pili kwa upande wa kundi la vijana na mshindi wa tatu kwa makundi yote. Picha ya chini akitangazwa kuwa mshindi.

Ilikuwa ni siku ya uchaguzi wa Wajumbe wa Baraza la Katiba ngazi ya Mtaa wa Nzasa Dar