Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Pereira Ame Silima (Mb) kulia akikaribishwa ndani ya Banda la Twiga Bancorp alipotembelea Maonesho ya Wizara ya Fedha ya Maandalizi ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru jana kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja.