Twanga Pepeta Watumbuiza Maisha Club Dar

Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo yao iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar es Salaam.

Waimbaji wa Twanga Pepeta wakitoa burudani kwenye shoo yao iliyofanyika club ya Maisha jijini Dar es Salaam.

  Kiongozi na mwimbaji  wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akiimba  moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo iliyofanyika club maisha jijini Dar.
 Mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Msafiri Diouf akitoa burudani ya nguvu kwenye shoo iliyofanyika club maisha jijini dar.
Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.