Tutaajiri Watumishi wa Afya 15,000, Wakiwemo Madaktari – Samia Suluhu

Mgombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni Mbulu Mjini.

Mgombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akihutubia wananchi katika moja ya mkutano yake ya kampeni Mkoani Manyara.

Mgombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni Kata ya Mbulumbulu.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza gombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mbulumbulu.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza gombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Endabash.

Mgombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akipewa zawadi kwa kuvishwa vazi la kiasili kijiji cha mbulumbulu mara baada ya kuwasili kijijini hapo kabla ya kuhutubia.

IMG_0071

Mmoja wa wapenzi wa CCM akiwa ameshika bango kuonesha ujumbe katika mkutano wa hadhara wa kampeni ulofanyika Mbulumbulu.

Mgombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni Endabash.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza gombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ulofanyika Mbulu Mjini.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza gombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ulofanyika Mbulu Mjini.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza gombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ulofanyika Mbulu Mjini.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza gombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM ulofanyika Mbulu Mjini.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza gombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Endabash.

Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakimsikiliza gombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu (hayupo pichani) katika mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Endabash.

Mgombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni Endabash.

Mgombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni Endabash.

Na Joachim Mushi, Mbulu

SERIKALI itakayoundwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya kushinda uchaguzi wa Oktoba 25, 2015 imeahidi kuajiri watumishi wa afya 15,000 pamoja na madaktari 2020 ndani ya kipindi kifupi ili kuhakikisha inaboresha zaidi huduma za afya maeneo mbalimbali nchini hasa huduma za akinamama na watoto.

Kauli hiyo imetolewa jana na mgombea Mwenza wa urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu wakati alipokuwa akiinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mbulu mjini na Mbulu Vijijini kwa nyakati tofauti mkoani Manyara.

Bi. Samia Suluhu alisema ilani ya CCM imedhamiria kuajiri watumishi elfu kumi na tano wakiwemo madaktari elfu mbili na ishirini ndani ya kipindi kifupi watakapoingia madarakani ikiwa ni mpango wa kuboresha huduma za afya kiujumla na hasa huduma za akinamama wajawazito na watoto ambapo wamekuwa na changamoto katika huduma hizo.

Alisema Serikali ya CCM endapo itarudi madarakani imepanga kushughulikia migogoro ya ardhi inayotokea nchini ikiwemo mkoani Mwanyara ikiwa ni mkakati wa kumaliza kero ya migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji wa eneo hilo. Alisema migogoro hiyo kati ya pande mbili imekuwa ikirudisha maendeleo ya jamii hizo mbili kiuchumi hivyo kudai lazima ishughulikiwe kikamilifu.

Aidha Bi. Suluhu alisema Serikali ya CCM imepanga kujenga viwanda vya kuchakata bidhaa za wafugaji na kutoa elimu juu ya ufugaji wa kisasa kwa wafugaji hao ili kukuza vipato vyao vya uchumi. Aliongeza kuwa ujenzi wa viwanda utaongeza nafasi za ajira kwa vijana na kupunguza ombwe la nafasi za ajira kwa vijana.

Awali akuhutubia wanaCCM na wananchi Mbulu vijijini aliahidi kumalizia kuvipatia umeme vijiji vya Mbulumbulu, Kambi ya Simba na vijiji vingine ambavyo bado havijafikiwa na huduma hiyo ya umeme pamoja na kuwasaidia wakulima wa mbaazi kupata soko ikiwa ni jitihada za kuwawezesha wananchi kiuchumi.

Alisema kwa upande wa elimu Serikali ya CCM imepanga kutoa elimu ya bure kuanzia darasa ka kwanza hadi kidato cha nne na kujenga mabweni ya shule za Sekonda, jambo ambalo litaiondolea mzigo jamii na kuwawezesha wengi kupata elimu hiyo bila kipingamizi chochote.

Hata hivyo aliwata wananchi kutunza amani iliyoasisiwa na viongozi wetu wa taifa kwa kutokubali kuyumbishwa na kushawishia kuvuruga amani ya nchi. “…Tusikubali kuchokozwa na kuchokoseka na kuvuruga amani…bila amani hakuna maendeleo,” alisema Bi. Suluhu.

Tayari Bi. Suluhu amemaliza kunadi ilani Mkoa wa Manyara na ameanza kuinadi ilani mkoa wa Singida.