Tushikamane Pamoja Foundation na Maadhimisho ya Miaka Miwili

Tushikamane Pamoja Foundation na Maadhimisho ya Miaka Miwili

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi ya ua mmoja wa wanachama wa Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation’, Joha Simba, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi hiyo, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Me i 20, 2012. Picha na Amour Nassor.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi zawadi ya ua mwananmitindo maarufu, Mustafa Hassanali, wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012. Picha na Amour Nassor

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya maadhimisho ya kusherehekea kutimiza miaka miwili ya Taasisi ya Tushikamane Pamoja Foundation, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diambond Jubilee, jana Mei 20, 2012. Picha na Amour Nassor