TTCL Yazinduwa Mnara wa Mawasiliano Kijijini Kiegei Lindi

Mbunge wa Nachingwea na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Mathias Chikawe akizungumza na mmoja wa wananchi kwa njia ya simu kudhihirisha kuwa mawasiliano katika Kata ya Kiegei ni Bwerere.

Mbunge wa Nachingwea na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mathias Chikawe akipokea moja ya zawadi zilizotolewa kwake kutoka kwa Mkuu wa Biashara wa Kanda ya Zanzibar Bw. Hussein Nguvu.

Meneja wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mkoa wa Lindi, Bw. Nicodemus Mgullu akiwaeleza wananchi teknolojia inayotumika kupeleka mawasiliano katika Kijiji cha Kiegei.

Mkuu wa Biashara kanda ya Zanzibar Bw. Hussein Nguvu akiwaeleza wananchi huduma na bidhaa zinazopatikana TTCL na matumizi sahihi ya mtandao.

Baadhi ya wananchi waliohudhuria uzinduzi huo.

Waziri Chikawe akizindu mnara huo.

Waziri Chikawe akizindu mnara huo.