TTCL Yasaidia Kituo cha Watoto wa Darasa la Awali Lukema Vingunguti

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (wa pili kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Serikali la LUKEMA Community Development and Training Services baadhi ya vibao maalumu kwa ajili ya kujifunzia wanafunzi wa darasa la awali.

Baadhi ya walimu wa Kituo cha Masomo ya Awali cha Lukema na maofisa wa Kampuni ya Simu ya TTCL wakishusha baadhi ya maboksi ya vitabu na madaftari yaliyotolewa na kampuni hiyo kuwasaidia watoto wa kituo hicho. Kituo cha Darasa la Awali cha Lukema kinamilikiwa na Shirika lisilokuwa la Serikali la LUKEMA Community Development and Training Services lililopo Vingunguti Dar es Salaam.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Serikali la LUKEMA Community Development and Training Services baadhi ya vitabu vya hisabati na kujifunzia kusoma kwa watoto wa darasa la awali ikiwa ni sehemu ya msaada kukisaidia kituo hicho. Vifaa vingine vilivyotolewa kama msaada na TTCL kwa kituo cha LUKEMA ni pamoja na maboksi ya chaki, vibao vya kuandikia, madaftari aina mbalimbali ya wanafunzi wa awali, mikeka kwa ajili ya kukalia wanafunzi.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Serikali la LUKEMA Community Development and Training Services baadhi ya maboksi ya chaki kwa ajili ya kufundishia watoto wa darasa la awali ikiwa ni sehemu ya msaada kukisaidia kituo hicho. Vifaa vingine vilivyotolewa kama msaada na TTCL kwa kituo cha LUKEMA ni pamoja na maboksi ya chaki, vibao vya kuandikia, madaftari aina mbalimbali ya wanafunzi wa awali, mikeka kwa ajili ya kukalia wanafunzi.

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi (kulia) akiwagawia madaftari wanafunzi wa darasa la awali ikiwa ni sehemu ya msaada uliotolewa kukisaidia kituo hicho. Vifaa vingine vilivyotolewa kama msaada na TTCL kwa kituo cha LUKEMA ni pamoja na maboksi ya chaki, vibao vya kuandikia, madaftari aina mbalimbali ya wanafunzi wa awali, mikeka kwa ajili ya kukalia wanafunzi.

Mwalimu wa darasa la awali, Betty Joseph akiwagawia madaftari wanafunzi wake wa darasa la awali ikiwa ni sehemu ya msaada uliotolewa na TTCL leo kukisaidia kituo hicho.

Mwalimu wa darasa la awali, Betty Joseph akiwagawia madaftari wanafunzi wake wa darasa la awali ikiwa ni sehemu ya msaada uliotolewa na TTCL leo kukisaidia kituo hicho. Mbele ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Nicodemus Mushi naye akigawa madaftari kwa wanafunzi wa darasa la awali wa  kituo cha LUKEMA.

Wanafunzi wa darasa la awali wa kituo cha LUKEMA kinachomilikiwa na Shirika lisilokuwa la Serikali la LUKEMA Community Development and Training Services kilichopo jijini Dar es Salaam wakifurahia madaftari na mikeka waliyopewa kama msaada na Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL) mara baada ya kugawiwa. Shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya 80 inakabiliwa na changamoto mbalimbali za vifaa vya masomo kwa wanafunzi wake.

Baadhi ya maofisa wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL) na walimu na uongozi wa Shirika lisilokuwa la Serikali la LUKEMA Community Development and Training Services linalomiliki kituo cha awali wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa darasa la awali wa kituo cha LUKEMA mara baada ya kukabidhiwa misaada mbalimbali ya vifaa vya masomo. Miongoni mwa vifaa vingine vilivyotolewa kama msaada na TTCL ni pamoja na maboksi ya chaki, vibao vya kuandikia, madaftari aina mbalimbali ya wanafunzi wa awali na mikeka kwa ajili ya kukalia wanafunzi. Shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya 80 inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa vifaa vya masomo kwa wanafunzi wake.