TTCL Yafanya Mazungumzo ya Kibiashara na Viongozi wa Arsenal

Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey (katikati) akizungumza jambo na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ya kibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) na Meneja Masoko na Usambazaji Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel (kushoto).

Kutoka kushoto ni Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam.

Kutoka kushoto ni Meneja Mauzo na Uendeshaji Biashara wa TTCL, Benjamin Bizere Nkaka, Meneja wa Masoko na Usambazaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Robart Noel, Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Daniel Willey na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone wakizungumza na wanahabari kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ibiashara kati ya TTCL na Timu ya Arsanal leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Timu maarufu ya mpira wa miguu duniani ya Arsenal, Dam Stone (kulia) akipokea zawadi kutoka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) iliyokabidhiwa na Meneja wa Masoko na Usambazaji wa TTCL, Robart Noel kabla ya kuanza mazungumzo ya kibiashara kati ya pande hizo mbili.

Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mazungumzo hayo kati ya TTCL na Arsenal yaliyofanyika makao makuu ya TTCL.