Meneja masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Beda Kinunda (kushoto) akimkabidhi Ofisa Mradi
wa Malaria Safe Program, Nicholas Nderungo (kulia) baadhi ya vyandarua vilivyotolewa na kampuni
hiyo kusaidia mapambano ya ugonjwa wa malaria Tanzania. TTCL ilishiriki katika matembezi ya
kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja
vya Farasi jijini Dar es Salaam na kutoa vyandarua 50 kuchangia mapambano ya malaria.
Baadhi ya makampuni mbalimbali yakikabidhi msaada wa vyandarua kwa balozi wa Malaria Tenga mara baada ya matembezi ya hisani kupambana na malaria yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) pamoja na makampuni mbalimbali
yakishiriki matembezi ya kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya
malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kampuni hizo
kuonesha mapambano na ugonjwa wa malaria.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) pamoja na makampuni mbalimbali
yakishiriki matembezi ya kilometa tano kuashiria mapambano na ugonjwa wa malaria wakifuatilia hotuba mbalimbali kwenye viwanja vya farasi jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wafanyakazi wa TTCL walioshiriki matembezi ya kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kampuni hizo kuonesha mapambano na ugonjwa wa malaria wakiwa katika picha ya pamoja.
Baadhi ya wafanyakazi wa TTCL walioshiriki matembezi ya kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kampuni hizo kuonesha mapambano na ugonjwa wa malaria wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Malaria nchini Tanzania, Leodger Tenga (katikati mwenye flana nyeupe).
Baadhi ya wafanyakazi kutoka makampuni mbalimbali yakishiriki matembezi ya kilometa tano kuashiria mapambano na ugonjwa wa malaria wakifuatilia hotuba mbalimbali kwenye viwanja vya farasi jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Malaria nchini Tanzania, Leodger Tenga (kushoto) akizungumza kwenye matembezi ya kilometa tano juzi yaliofanyika sambamba na maadhimisho ya siku ya malaria duniani kwenye Viwanja vya Farasi jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi kutoka makampuni mbalimbali yakishiriki matembezi ya kilometa tano kuashiria mapambano na ugonjwa wa malaria wakifuatilia hotuba mbalimbali kwenye viwanja vya farasi jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) pamoja na makampuni mbalimbali
yakishiriki matembezi ya kilometa tano kuashiria mapambano na ugonjwa wa malaria wakifuatilia hotuba mbalimbali kwenye viwanja vya farasi jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mradi wa Malaria Safe Program, Nicholas Nderungo (kushoto) akizungumza jambo na Ofisa Habari wa TTCL, Edwin Mashasi (kulia) muda mfupi kabla ya kampuni ya TTCL kukabidhi msaada wa vyandarua 50 ikiwa ni jitihada za kushiriki mapambano ya ugonjwa wa malaria juzi.