UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII JOPO LA WAZUNGUMZAJI LITAWASILISHA
MADA: Mgomo wa Madaktari Nchini: Kiini Chake Nini?
Lini: Jumatano Tarehe 4/7/2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA