
Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa akipokea madawati 235 kwa mkoa wa Mara toka kwa Meneja wa Tigo kanda ya ziwa, Edgar Mapande kwenye hafla iliyofanyika shule ya msingi Utegi wilayani Rorya jana

Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt. Charles Mlingwa akiongea na wazazi, walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana. Jumla ya madawati 235 yalitolewa kwa mkoa huo. Pichani kutoka kushoto Meneja wa Tigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo,Meneja wa Tigo kanda ya ziwa, Edgar Mapande, Mkuu wa wilaya ya Rorya, Simon Chacha na Mwenyekiti wa Halmashauri mka Mara, Albert Machiwa
Meneja wa Tigo Mkoa wa Mara, Edwin Kisamo akiongea na walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wilayani Rorya wakati wa hafla ya kukabidhi madawati kwa shule hiyo jana.
|
Wanafunzi wa shule ya msingi Utegi wakiwa wameketi kwenye madawati waliopewa na kampuni ya simu za mkononi Tigo jana.
|