
Kutoka kulia Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Ally Maswanya akimkabidhi dawati moja kati ya Madawati mia mbili Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega JACKOB MTALITINYA, Kulia katikati ni Mbunge wa Jimbo la Bukene Suleiman Zedi.
![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Urambo Bi. Angelina Kwingwa akikata utepe ishara ya kupokea msaada wa madawati Miamoja kutoka kampuni ya Tigo kanda ya ziwa. |
![]() |
Mkuu wa wilaya ya Urambo Bi. Angelina Kwingwa Akitoa hotuba kwa wananchi wakati wa makabidhiano ya madawati wilayani hapo.
|
![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Urambo Bi. Angelina Kwingwa na Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa wakiwa wameketi kwenye Madawati pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Ukombozi wilayani Urambo.
|
![]() |
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Msingi Ukombozi. |