Moshi,
Februari 24 2016. Wateja
wa Tigo waishio Moshi sasa wanaweza kupata mtandao wa intaneti wenye kasi kubwa
zaidi kufuatia upanuzi wa upatikanaji wa huduma ya 4G LTE hadi kufikia jiji
hilo lilopo kaskazini mwa Tanzania Teknolojia ya 4G LTE ina kasi mara tano
zaidi kuliko teknolojia ya 3G inayopatikana nchini kwa sasa.

‘’Upanuzi huu umetokana na mafanikio
makubwa yaliyopatikana katika majaribio ya awali ya utoaji huduma ya 4G jijini
Dar es Salaam kuanzia mapema mwaka jana,’’ amesema Mkurugenzi wa Kanda ya
Kaskazini, George Lugata.

Akizungumza leo na waandishi wa habari
mjini Moshi, Lugata amesema: “uzindu wa 4G ni kielelezo cha jinsi ambavyo
Tigo imedhamiria kufanikisha kuleta mabadiliko ya dijitali katika maisha ya
watanzania na pia kuwa katika msitari wa mbele wa kutumia teknolojia ya kisasa
na kibunifu nchini Tanzania.”

Mtandao wa 4G LTE una kasi kubwa zaidi
katika kuperuzi na kupakua kwa urahisi kutoka kwenye mtandao wa intaneti na pia
katika kufanya mawasiliano kwa njia ya Skype. Huduma hii pia inaharakisha
urushwaji wa picha za video na ubora hali ya juu na kufanya mikutano kwa njia
ya mtandao.

“Tunapenda kuwahakikishia wateja wetu
waishio Moshi kwamba sasa wanaweza kufurahia huduma bora zaidi za mawasiliano
kutoka Tigo na Intaneti yenye kasi zaidi,” Lugata amesema. Moshi ni moja wapo
ya miji mikubwa Tanzania, na pia inajivunia bandari ndani ya Afrika Mashariki
na kwa sababu ya bahari ya Hindi ni kivutio cha utalii nchini.

Wateja wote wa Tigo 4G LTE watanufaika
na promosheni; kila atakapo ongeza salió la shilingi elfu moja au zaidi, atapata mb 500 bure kama
bonasí.

Ametaja miji mingine katika mikoa sita
ambapo 4G inapatikana kuwa ni Moshi, Dodoma, Morogoro, Tanga na Arusha, “jambo
ambalo linaifanya Tigo kuwa na mtandao mkubwa wa 4G nchini Tanzania.” Lengo kuu
ni kufikisha huduma ya 4G katika kila kona za nchi ifikapo mwaka ujao, Lugata
ameongeza kusema.