Thehabari yachaguliwa kushiriki kutafuta blog bora Tanzania

Asante mpenzi na mdau wa Thehabari kwa kuuwezesha mtandao huu kuingia katika mchujo wa kutafuta blog bora Tanzania. Uongozi wa Thehabari unapenda kuwajulisha kuwa mafanikio haya yamepatikana kwa ushirikiano wa kila mpenzi na msomaji wa mtandao huu. Hivyo basi endelea kuuweka kileleni katika shindano hilo kwa kuupigia kura zaidi hapo chini.

Kupiga kura tafadhali bofya; www.Tanzanianblogawards.com

Ifuatayo ni barua kuchaguliwa katika ushiriki;

WE wish to congratulate and inform your blog has been nominated for the Tanzanian Blog awards 2011 Contest. The Tanzanian Blog Award is the first online Tanzanian blog contest devoted to promoting and supporting Tanzanian bloggers around the world.

We are busy getting all the nominations for 2011contest up on the site ready for voting process which begins June 25th, 2011 to July 9th, 2011.

Every blog that is nominated went through a manual review and those qualified and fit the most on each category were selected onto the finalist. If you wish to remove your blog from participating simple email us before June 19th 2011. Otherwise stop by on our site www.Tanzanianblogawards.com and grab the finalist button that will available on our site from June 20th and encourage your readers to vote for you.

Once again congratulations on your nomination and we wish you the best of luck.

Thanks