Gazeti Mtandao la dev.kisakuzi.com leo limetembelea eneo la Stesheni jijini Dar es Salaam ambapo limewakuta wazee hawa wanaoidai Serikali wakiendelea kusota jijini, eneo hili wameamua kufanya makazi yao na hapa baadhi yao wakiendelea na majukumu ya kila siku.
Hapa mmoja wa wastaafu hao, Jumanne Omar Sanane (kushoto) akizifanyia usafi nguo zake, eneo hili ndilo makazi ya wazee hawa ya kila siku jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Joachim Mushi)