TGNP yawanoa wanahabari uandishi habari za uchokonozi vijijini

Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari kutoka Mkoa wa Shinyanga na Dar es Salaam wakihudhuria mafunzo ya uandishi wa habari za uchokonozi vijijini kabla ya kuelekea maeneo kadhaa ya vijijini wilayani Kishapu.

Baadhi ya wanahabari kutoka vyombo anuai vya habari wakiwa katika mafunzo ya habari za uchokonozi vijijini. Mbele kushoto ni Mkuu wa Idara ya Habari kutoka Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akiwasilisha mada jana mjini Shinyanga.