Mtoa mada katika mjadala wa 50/50 ulioandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania, TGNP, Profesa Ruth Meena kutoka Chuo cha RAIDA akiwasilisha mada yake kwa washiriki, kushoto ni Jenerali Ulimwengu akiwa meza kuu.

Sehemu ya washiriki katika mjadala wa 50/50 ulioandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania, TGNP, wakifuatilia mada mbalimbali leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo umefanyika Ofisi za TGNP Mabibo.

Washiriki katika mjadala wa 50/50 ulioandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania, TGNP, wakifuatilia mada mbalimbali leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo umefanyika Ofisi za TGNP Mabibo.

Baadhi ya washiriki katika mjadala wa 50/50 ulioandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania, TGNP, wakifuatilia mada mbalimbali leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo umefanyika Ofisi za TGNP Mabibo.

Washiriki katika mjadala wa 50/50 ulioandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania, TGNP, wakifuatilia mada mbalimbali leo jijini Dar es Salaam. Mjadala huo umefanyika Ofisi za TGNP Mabibo.