TGNP Mtandao Yaazimisha Siku ya Wanawake Duniani 2017

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akizungumza wakati akizinduwa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyoandaliwa na TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam.

 

Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Katarina Rangnitt akihutubia wageni waalikwa kwenye hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam leo.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Lilian Liundi (kulia) akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyoandaliwa na TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Mwakilishi kutoka UNFPA, Bi. Christina Mwanukuzi.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Lilian Liundi (kulia) akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyoandaliwa na TGNP Mtandao jijini Dar es Salaam.

 

Kutoka kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bi. Ummy Mwalimu na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Katarina Rangnitt wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Lilian Liundi (hayupo pichani) kwenye hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017.

 

Baadhi ya washiriki na wageni waalikwa wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyoandaliwa na TGNP Mtandao.

 

Baadhi ya washiriki na wageni waalikwa wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyoandaliwa na TGNP Mtandao.

 

Baadhi ya washiriki na wageni waalikwa wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyoandaliwa na TGNP Mtandao.

 

Baadhi ya washiriki na wageni waalikwa wakiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyoandaliwa na TGNP Mtandao.

 

Mwasilishaji mada kuhusua masuala ya elimu kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyoandaliwa na TGNP Mtandao, Prof. Balusesa (kushoto) akiwasilisha mada yake katika hafla hiyo. Kulia ni Prof. Honest Ngowi akifuatilia.

 

Mwasilishaji mada kuhusua masuala ya Uwezeshaji wa Wanawake Kiuchumi, Prof. Honest Ngowi (kulia) akiwasilisha mada katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyoandaliwa na TGNP Mtandao. Kutoka kushoto ni watoa mada, Hanif Tuwa na Prof. Balusesa.

 

Mwasilishaji mada kuhusua masuala ya Uongozi, Hanif Tuwa (kushoto) akiwasilisha mada katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani 2017 iliyoandaliwa na TGNP Mtandao. Kulia ni Prof. Balusesa akifuatilia mada hiyo.

 

Prof. Ruth Meena mwanachama wa TGNP akichangia mada katika maadhimisho hayo.