TFF Yatimiza Miaka 50 ya Uanachama FIFA, Kuwatunuku Vyeti Wadau

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania


SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Oktoba 8 mwaka 2014 linaadhimisha miaka 50 ya kujiunga na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).

Katika kuadhimisha siku hii TFF ilipanga kufanya tafrija fupi ya kuwaenzi wale wote waliotoa mchango mkubwa kwa maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania katika kipindi hicho cha miaka 50.
Hafla hii itafanyika katika siku nyingine itakayopangwa. Orodha kamili ya watunukiwa imeambatanishwa hapa.

MAPENDEKEZO YA MAJINA YA WATAKAOTUNUKIWA VYETI VYA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 TANZANIA KUJIUNGA NA FIFA
JINA

Mheshimiwa Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi
Mheshimiwa Benjamin William Mkapa
Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete
Mheshimiwa u Abeid Amani Karume
Mheshimiwa Amani Abeid Karume
Mheshimiwa Idris Abdul Wakil
Mheshimiwa Aboud Jumbe Mwinyi
Mheshimiwa Dr. Salmin Amour
Mheshimiwa Dr. Mohamed Shein

VIONGOZI WA KIMATAIFA
Sepp Blatter
Issa Hayatou
Abdel Aziz Abdallah Salem/Ydnekatchew Tessema

WENYEVITI/MARAIS FAT/TFF
Maggid
Ali Chambuso
Said Hamad El Maamry
Alhaj Mohamed Mussa
Alhaj Muhidin Ahmed Ndolanga
Leodegar Chilla Tenga

MAKATIBU WAKUU
Said Hassan
Abdallah Mpolaki
Kitwana Ibrahim
Martin Mgude
Meshack Maganga
Col. Yunus Abdallah
Patrick Songora
Gerasse Lubega
Said Baharoon
Fredrick Mwakalebela
Ali Mwanakatwe
Alhaj Ismail Aden Rage
Michael Wambura
Angetile Osiah

MAKOCHA
Mansour Magram
Paul West Gwivaha
Joel Nkaya Bendera
Dan Korosso
Mohamed Msomali
Zakaria Kinanda
Shaaban Marijani
Billy Bandawe
Hamis Kilomoni
Syillersaid Mziray

WAAMUZI
Gration Matovu
Kassim Chona
Zuberi Bundala
Mohamed Nyama
Bakari Mtangi
Omar Abdulkadir
Mussa Lyaunga
Ramadhani Mwinyikonda
Ramadhani Nyamwela
Ramadhani Kaabuka
Joseph Mapunda
Dunstan Daffa
Almas Said
Abdul Rasul

WACHEZAJI
Mohamed Chuma
Kitwana Manara
Miraji Juma
Dracula
Mathias Kissa
Hamis Fikirini
Emily Kondo
Abdulrahman Lukongo
Hemed Seif
Abdul Aziz
Mbwana Abushiri
Sembwana
Mweri Simba
Omar Zimbwe
Omar Mahadhi
Godfrey Nguruko
Maulid Dilunga
Arthur Mwambeta
Ayoub Mohamed
John Lyimo
Mohamed Mwabuda

TIMU YA TAIFA 1979 – 80 ILIYOENDA NIGERIA
Leodegar Tenga (Nahodha)
Athumani Mambosasa
Idd Pazi
Juma Pondamali
Leopold Mukebezi
Ahmed Amasha
Mohamed Kajole
Salim Amir
Jella Mtagwa
Mtemi Ramadhan
Adolf Rishard
Hussein Ngulungu
Juma Mkambi
Omari Hussein
Thuweni Ally
Mohamed Salim
Peter Tino
Rashid Chama
Slomir Wolk (Kocha Mkuu)
Joel Bendera (Kocha Msaidizi)
Dr. Katala (Daktari wa timu)
Mzee Mwinyi (Meneja wa timu)
Willi Kianga
Daud Salum
Stanford Nkondora (Mkuu wa Msafara)

MAWAZIRI WA MICHEZO
Gen. Mrisho Sarakikya
Chadiel Mgonja
Charles Kisanji
Fatma Said Ally
Philemon Sarungi
Prof. Juma Kapuya
Dr. Emmanuel Nchimbi
Dr. Fenela Mukangara

WENYEVITI WA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA BMT
Said El Maamry
Balozi Maggidi
Moses Mnauye
Makame Rashidi
Jenerali Ulimwengu
Mohamed Abdulaziz
Idd Kipingu

MAKATIBU WA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA BMT
Salum Dossi
Mohamed Lutta
Ernest Mlinda
Leonard Thadeo

WAKURUGENZI WA MICHEZO SERIKALINI 1965 – 2014
Khalifa Abdallah
Chabanga Hassan Dyamwale
Joas Nkongo
Flavian Kipanga
Henry Ramadhani
Leonard Thadeo
Jenerali Ulimwengu

WADHAMINI
Tanzania Breweries Limited (TBL)
Vodacom (T) Ltd
Serengeti Breweries Ltd
National Microfinance Bank Ltd
S.S. Bakhressa Company Ltd
AIRTEL (T) Ltd
Bank ABC Ltd
Coca Cola (T) Ltd
National Social Security Fund (NSSF)
Africa Barrick Gold
Air Tanzania Ltd
Tanzania Rairwaly Corporation (TRC)
Symbion Power Ltd
Tanzania Tobacco Board
Tanzania Cotton Board
Tanzania Coffee Board
Tanzania Sisal Board
Tanzania Harbour Authority (BIMA)
National Insurance Corporation
Idara ya Uhamiaji
Tanzania Shoe Company (BORA)
Friendship Textiles Ltd (URAFIKI)
TACOSHILI
Geita Gold Mine
Mtibwa Sugar Estate Limited
Kagera Sugar Limited
Tanga Cement

WATANGAZAJI MPIRA
Omar Masoud Jarawa
Mshindo Mkeyenge
Juma Nkamia
Salim Seif Mkamba
Ahmed Jongo
Nadhir Mayoka
Halima Mchuka
Idd Rashid Mchatta
Charles Hilary
Dominic Chilambo
Tido Mhando
Abdul Ngalawa
Julius Nyaisanga
Mikidad Mahmoud

WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO
Tommy Sithole
Willie Chiwango
John Jobba
Steven Rweikiza
Muhidin Issa Michuzi
John Ngahyoma
Mwalimu Omar
James Nhende

WAHAMASISHAJI TIMU YA TAIFA
Mbaraka Mwinshehe
JKT Mafinga Kimuli Muli
MABINGWA WA LIGI
Cosmopolitan
Simba Sports Club
Young Africans Sports Club
Mseto
Pan African
Tukuyu Stars
Majimaji Football Club
Coastal Union
Mtibwa Sugar Football Club
Azam Football Club

WAWAKILISHI MUUNGANO KIMATAIFA
Malindi F.C.
Tanzania Stars
Pamba F.C.
Reli Morogoro
African Sports
KMKM

VIONGOZI WA VILABU
Shaban Mwakayugwa
Tabu Mangara
Kondo Kipwata
Jabir Katundu
Amir Ali Amir
Juma Salum
Jimmy David Ngonya
Priva Mtema
Mama Fatma Karume
Patel (Kaka)
Shekh Mjaidi
Hans Leopald
Msuo Mohamed Msuo
Omar Bilal
William Kiboma
Peter Feer
Salim Bawazir
Titus Bandawe
Aboubakar Mgumia
Kitwana Kondo
Kitwana Athman
Abdul Wahab Abbas Maziwa
Ally Sykes
Ramadhan Kirundu
Chonjo Mwinchande
Ali Issa Mchowela
Shebbe Gessani

VIONGOZI WALIOJENGA VIWANJA
Richard Wambura
Lawrence Gama
Abdul Nuru Suleiman
Sheikh Amri Abeid
Mustapha Songambele
Mohamed Kisoky
Jamhuri Dodoma ???
Karume Mara ???
Ahaj Omar Muhaji
Nangwanda Sijaona ???
Namfua Singida ???
Swedish Embassy
Jamhuri Morogoro ???
Lake Tanganyika ???
General Tumainiel Kihwelu
YOUTH FOOTBALL
James Bwire