TAWLA Yatoa Mafunzo Kushughulikia Watoto Walio Katika Ukinzani na Sheria

Mratibu wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga (TAWLA) Latifa Ayoub akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo.

Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP), Bahati Ngoli akifungua mafunzo ya jinsi ya
kushughulika na watoto walio katika ukinzani na Sheria ulioandaliwa
na chama cha wanasheria wanawake Tanzania (Tawla) Mkoani Tanga kwenye
ukumbi wa Hotel ya Nyumbani mjini Tanga.
 
 
Juma Abdallah kutoka Tawla Mkoani wa Tanga akitoa mada kuhusu wajibu wa familia na jamii kuzuia uhalifu wa
watoto.
 
 Mwanasheria wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga, Adolphina Mbekinga akizungumza
wakati akiwasilisha mada ya mfumo wa haki jinai kwa watoto Tanzania na Taratibu zake (2&3).
Mratibu wa dawati la Jinsia na watoto Mkoa
wa Tanga akizungumza katika mafunzo hayo.
 
Mkuu wa kituo cha Polisi Chumbangeni Mkoani Tanga, Mrakibu Msaidizi wa
Polisi, ASP Saidi Mwagara akifuatilia taarifa mbalimbali wakati wa mafunzo hayo.
 

Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP), Bahati Ngoli kushoto akichuchukua mada mbalimbali.

 

 Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Tanga (OCD)
akifuatiwa na Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi hilo (SSP) Emanuel Minja.
Mratibu wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa
Ayoub kulia akifutilia masuala mbalimbali kwenye seminahiyo .
 

Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP), Bahati Ngoli akifuatilia kulia ni Hakimu Mkazi Mfawidhi Aziza Lutalla

 

 

 Mkuu wa kituo cha Polisi
Chumbageni Mkoani Tanga,Saidi Mwagara kushoto ni Mwendesha Mashtaka
wilaya ya Handeni,Selemani Kawambwa wakifuatilia mafunzo
hayo
Hakimu Mkazi Hilda Lyatuu kulia katikati ni Wakili wa Serikali Rebecca Msalangi wakifuatilia mada mbalimbali kwenye semina hiyo, Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha