TAWLA Yaendesha Semina kwa Wanahabari juu ya Afya ya Uzazi na Changamoto zake

Afisa Uchechemuzi wa Shirika la Wanasheria wanawake la TAWLA Bi. Sime Bateyunga akifungua mafunzo kwa wanahabari hawapo pichani yanayolenga kujenga uelewa kwa waandishi wa habari kuhusiana na masuala ya haki ya afya ya uzazi Changamoto wanazokutana nazo na namna ambavyo matumizi ya sheria za kimataifa kama Maputo Protocal yataweza kupunguza Chanagamoto hizo, Semina hiyo ya siku mbili ilikuwa ikifanyika Luther House Azania Front jijini Dar es salaam na imemalizika leo.(PICHA NA JOHN BUKUKU-

2

Wanahabari wakimsikiliza Afisa Uchechemuzi wa Shirika la Wanasheria wanawake la TAWLA Bi. Sime Bateyunga wakati akifungua semina hiyo jana.

3Goodness Mrema Afisa habari na mawasiliano TAWLA akiwa katika semina hiyo.

6

Afisa Mipango wa TAWLA Bi. Sara Kinyaga kulia akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuendesha mafunzo hayo kwa waandishi wa habari leo.

7

Maofisa wa TAWLA pamoja na waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja nmara baada ya kumalizika kwa semina hiyo leo jijini Dar es salaam.