Tathmini ya Sekta ya Uvuvi, Misitu, Wanyamapori wafanyika

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yahana Budeba akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya sekta ya Uvuvi, Misitu na Wanyamapori na hatua ya serikali ya kupeleka madaraka ya usimamizi wa maliasili katika ngazi ya kijiji.

Washiriki wa mkutano wa tathmini ya maendeleo ya sekta ya Uvuvi, Wanyamapori, Misitu na Mifugo wakijadili masuala mbalimbali kuhusu usimamizi endelevu wa maliasili zilizopo katika maeneo mbalimbali nchini leo jijini Dar es salaam.