![Mfalme Mswati III wa Swaziland, akitembelea baadhi ya mabanda mara baada ya kufungua rasmi Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF), jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/Mfalme.jpg)
Mfalme Mswati III wa Swaziland, akitembelea baadhi ya mabanda mara baada ya kufungua rasmi Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF), jana.
![Mmiliki wa kampuni ya matangazo ya PPR, Paschal Mayala akifanya maojiano ndani ya banda la Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/Banda-la-Mdhibiti-na-Mkaguzi-Mkuu-wa-Serikali-2.jpg)
Mmiliki wa kampuni ya matangazo ya PPR, Paschal Mayala (wa kwanza kulia) akifanya maojiano ndani ya banda la Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali.
![Taswira Ndani ya Mabanda Maonesho ya 37 ya Biashara, Sabasaba](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/IMG_0231.jpg)
Mmiliki wa kampuni ya matangazo ya PPR, Paschal Mayalla akifanya mahojiano na baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ndani ya Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)
![Mmiliki wa kampuni ya matangazo ya PPR, Paschal Mayalla akifanya mahojiano na baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ndani ya Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/IMG_0228.jpg)
Mmiliki wa kampuni ya matangazo ya PPR, Paschal Mayalla akifanya mahojiano na baadhi ya wafanyakazi wa ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ndani ya Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)
![Banda la Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ndani ya Maonesho ya 37 ya Biashara yanayoendelea Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/Banda-la-Mdhibiti-na-Mkaguzi-Mkuu-wa-Serikali-ndani-ya-Maonesho-ya-37-ya-Biashara-yanayoendelea-Dar-es-Salaam.3.jpg)
Banda la Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ndani ya Maonesho ya 37 ya Biashara yanayoendelea Dar es Salaam.
![Baadhi ya wananchi wakipata maelezo ya huduma ndani ya Banda la Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali-1](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/Baadhi-ya-wananchi-wakipata-maelezo-ya-huduma-ndani-ya-Banda-la-Mdhibiti-na-Mkaguzi-Mkuu-wa-Serikali-1.jpg)
Baadhi ya wananchi wakipata maelezo ya huduma ndani ya Banda la Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali
![Baadhi ya wafanyakazi wa LAPF Pensions Fund wakiwa nje ya banda lao.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/Baadhi-ya-wafanyakazi-wa-LAPF-Pensions-Fund-wakiwa-nje-ya-banda-lao..jpg)
Baadhi ya wafanyakazi wa LAPF Pensions Fund wakipiga picha ya ukumbusho nje ya banda lao Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)
.
![Baadhi ya wafanyakazi wa LAPF Pensions Fund wakiwa nje ya banda lao mara baada ya ufunguzi rasmi wa maonesho ya Sabasaba jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/Baadhi-ya-wafanyakazi-wa-LAPF-Pensions-Fund-wakiwa-nje-ya-banda-lao-mara-baada-ya-ufunguzi-rasmi-wa-maonesho-ya-Sabasaba-jana..jpg)
Baadhi ya wafanyakazi wa LAPF Pensions Fund wakiwa nje ya banda lao mara baada ya ufunguzi rasmi wa maonesho ya Sabasaba jana.
![Taswira Ndani ya Mabanda Maonesho ya 37 ya Biashara, Sabasaba](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/IMG_0200.jpg)
Mmoja wa wahudumu wa Vodacom (kushoto) akitoa maelezo kwa wateja ndani ya Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)
![Baadhi ya wateja wa Vodacom wakiwa ndani ya banda la kampuni hiyo katika Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/IMG_0192.jpg)
Baadhi ya wateja wa Vodacom wakiwa ndani ya banda la kampuni hiyo katika Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)
![Shamrashamra ndani ya viwanja vya Mwalimu Nyerere katika Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/IMG_0104.jpg)
Shamrashamra ndani ya viwanja vya Mwalimu Nyerere katika Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)
![Access Bank ndani ya Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/IMG_0246.jpg)
Mmiliki wa kampuni ya matangazo ya PPR, Paschal Mayalla (kulia) akifanya mahojiano na baadhi ya wafanyakazi wa Access Bank ndani ya Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)
![Access Bank ndani ya Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/IMG_0244.jpg)
Mmiliki wa kampuni ya matangazo ya PPR, Paschal Mayalla akifanya mahojiano na baadhi ya wafanyakazi wa Access Bank ndani ya Maonesho ya 37, ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF)
![Kijana anayetuhumiwa kukwapua simu(aliyeshikwa) ndani ya maonesho ya 37 ya Biashara jijini Dar es Salaam akipelekwa kwenye vyombo vya usalama-7](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/07/Kijana-anayetuhumiwa-kukwapua-simualiyeshikwa-ndani-ya-maonesho-ya-37-ya-Biashara-jijini-Dar-es-Salaam-akipelekwa-kwenye-vyombo-vya-usalama-7.jpg)
Kijana anayetuhumiwa kukwapua simu(aliyeshikwa) ndani ya maonesho ya 37 ya Biashara jijini Dar es Salaam akipelekwa kwenye vyombo vya usalama.