TASWA Wamuaga Rais Kikwete, Azoa Tuzo Kibao za Michezo

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA), Juma Pinto (wa pili kulia) akimkabidhi Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete tuzo maalumu ya kutoa mchango mkubwa katika kukuza michezo mbalimbali ndani ya uongozi wake akiwa rais. Kushoto ni Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi (wa kwanza kulia)

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo mbalimbali kwa wanamichezo waliofanya vizuri katika kipindi cha uongozi wake, kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) kwa ajili ya kumuaga Rais Kikwete na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuboresha michezo nchini.

Mama mzazi wa mchezaji nyota wa mpira wa kikapu, Hashim Thabit akipokea tuzo maalum aliyopewa mwanae kwa kufanya vizuri katika mchezo huo nje ya Tanzania na kutoa mchango mkubwa kukuza mchezo huo nchini.
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo mbalimbali kwa wanamichezo waliofanya vizuri katika kipindi cha uongozi wake, kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) kwa ajili ya kumuaga Rais Kikwete na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuboresha michezo nchini.
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwassa ‘Masta’ (wa pili kulia) akipokea tuzo ya kutoa mchango mkubwa kwa timu ya taifa ya Wanawake aliyokuwa akiifundisha hapo awali toka kwa Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) kwa ajili ya kumuaga Rais Kikwete na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuboresha michezo nchini.
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo kwa bondia Francis Cheka kwa kufanya vizuri mchezo huo kimataifa katika kipindi cha uongozi wa Kikwete, kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) kwa ajili ya kumuaga Rais Kikwete na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuboresha michezo nchini.
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo mbalimbali kwa wanamichezo waliofanya vizuri katika kipindi cha uongozi wake, kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) kwa ajili ya kumuaga Rais Kikwete na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuboresha michezo nchini.
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo kwa mwanamichezo, Idd Kipingu kwa kutambua mchango wake katika tasnia ya michezo nchini kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) kwa ajili ya kumuaga Rais Kikwete na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuboresha michezo nchini.
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi nao ukatambuliwa kwa kupewa tuzo maalumu na Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) kwa ajili ya kumuaga Rais Kikwete na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuboresha michezo nchini.
Mchango wa Leodger Tenga ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) nao ukatambuliwa kwa kupewa tuzo maalum na TASWA iliyotolewa na Rais Kikwete kwenye hafla hiyo maalumu iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete pia akamkabidhi tuzo, Abdallah Majura (wa kwanza kulia) kwa mchango wake katika tasnia zima ya michezo nchini Tanzania.
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akikabidhi tuzo mbalimbali kwa wanamichezo waliofanya vizuri katika kipindi cha uongozi wake, kwenye hafla maalumu iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo nchini (TASWA) kwa ajili ya kumuaga Rais Kikwete na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuboresha michezo nchini.
Nahodha wa Taifa Stars, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ naye akikabidhi jezi ya taifa stars iliyosainiwa na wachezaji wote wa timu ya taifa pamoja na mpira ikiwa ni heshima ya kutambua mchango wa Rais Kiwete katika tasnia ya michezo.
TFF nao kupitia Rais wao Jamal Malinzi (wa pili kulia) wakatoa tuzo maalum kwa Rais Kikwete kutambua mchango wake katika kukuza sekta hiyo nchini. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiq, Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi (wa kwanza kulia).