
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau.
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lina furaha kuwatangazia wadau wake tarehe mpya za Mkutano wa Tano wa Wadau.
Wapi: Simba Hall, AICC- Arusha
Tarehe: 2 Juni -4 Juni, 2015.
Mgeni Rasmi: Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maelezo zaidi wasiliana na; Meneja Kiongozi,
Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja
Simu ya Bure: 0800756773,
Simu Motomoto: +255 756 140140
Barua Pepe: info@nssf.or.tz