
Wakurugenzi wa SOS Villages, Dk. Alex Lengeju, Rita Khuranga (National Director SOS) na Mjumbe wa Bodi ya SOS, Dk. Daudi Makobore (wa mwisho kushoto) wakipokea cheki kutoka kwa Ofisa Mkuu wa Idara ya fedha wa Tanzania Tea Blanders, Mr. D. Ravi Kumar kwa ajili ya kuwasomesha watoto 40 wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima cha SOS jijini Dar es Salaam.