Tanzania Kukopeshwa Bilioni 77.7 na Japan Ujenzi wa ‘Fly Over’

Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Sherehe zilifanyika leo mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli (katikati)

Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Japan hapa nchini (JICA) Yasunori Onishi (kulia) na Waziri wa Fedha wakibadilishana hati ya ujenzi wa daraja la juu katika makutano ya TAZARA leo mjini Dodoma wakati wa sherehe za kusaini hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Wengine ni Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia), na Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli (katikati).

Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (katikati) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo mjini Daodoma juu ya mkopo wa riba nafuu wa shilingi bilioni 77.7 ambao utatumika katika ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine kwa ajili ya kupunguza umaskini zilizotolewa na Japan. Sherehe zilifanyika leo mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli(kushoto). Mwingine katika picha ni Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia).

Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo mjini Dodoma juuu ya juhudi za Serikali ya Rais Jakaya Kikwete ya kupunguza msongamano katika Jiji la Dar es salaam ambapo leo Tanzania imepata mkopo wa shilingi bilioni 52.5 kutoka Japan kwa ajili ya Ujenzi wa Barabara za Juu katika makutano ya TAZARA. Wengine ni Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (katikati) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kullia).

Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Japan hapa nchini (JICA) Yasunori Onishi (kulia) akielezea mkakati watakaoutumia katika ujenzi wa daraja la juu katika makutano ya TAZARA leo mjini Dodoma wakati wa sherehe za kusaini hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Wengine ni Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (wa pili kutoka kulia), Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (wa pili kushoto) na Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli (kushoto)

Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (katikati ) na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Japan hapa nchini (JICA) Yasunori Onishi (kulia) wakisaini hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Sherehe zilifanyika leo mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli (kushoto).

Waziri wa Fedha Dk. William Mgimwa (katikati) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakisaini hati ya makubaliano ya mkopo wa riba nafuu ambapo Japan itaikopesha Tanzania shilingi bilioni 77.7 kwa ajili ujenzi wa barabara ya juu kwa juu katika makutano ya TAZARA jijini Dar es salaam na fedha nyingine zitasaidia katika kupunguza umaskini. Sherehe zilifanyika leo mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli (kushoto). Picha zote na GCU-HAZINA_Dodoma.