TAMWA Yazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari…!

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Edda Sanga akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mkutano na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari, kuzungumzia utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto baadhi ya maeneo nchini Tanzania.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Edda Sanga (kushoto) akiwasilisha mada kwa wahariri juu ya mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto unaoendeshwa na Tamwa kwa ushirikiano na wanahabari.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Edda Sanga akiwasilisha mada kwa wahariri (hawapo pichani) juu ya mafanikio ya utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto unaoendeshwa na Tamwa kwa ushirikiano na wanahabari.

Ofisa Miradi wa TAMWA, Godfrida Jola akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari, kabla ya kumkaribisha Bi. Edda Sanga kuzungumzia utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto baadhi ya maeneo nchini Tanzania.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Edda Sanga akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya mkutano na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari, kuzungumzia utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto baadhi ya maeneo nchini Tanzania.

Ofisa Miradi wa TAMWA, Godfrida Jola akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari, kabla ya kumkaribisha Bi. Edda Sanga (kulia) kuzungumzia utekelezaji wa mradi wa Programu ya Haki na Utawala Bora, inayopinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto baadhi ya maeneo nchini Tanzania.

Baadhi ya wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika mkutano huo na Tamwa.