Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Valerie Msoka akizungumza na waandishi wa habari kuelezea shughuli ambazo chama chake kitazifanya ndani ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Valerie Msoka akiangalia maonesho ya picha zinazoainisha vitendo vya ukatili katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanahabari wapiga picha ambao wanashiriki mafunzo ya upigaji picha za ukatili wakibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Valerie Msoka (kushoto) katika maonesho ya picha zinazoainisha vitendo vya ukatili.
Baadhi ya wanahabari wapiga picha ambao wanashiriki mafunzo ya upigaji picha za ukatili wakiangalia maonesho ya picha katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanahabari wapiga picha ambao wanashiriki mafunzo ya upigaji picha za ukatili wakimsikiliza mkufunzi wa mafunzo hayo Mwanzo L. Millinga (wa kwanza kulia) kutoka ‘Practical School of Journalism’ (PSJ).

Kikosi cha bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania kikiwaongoza washiriki kuimba wimbo wa taifa katia hafla ya Uzinduzi wa siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia iliyofanyia jijini Dar es Salaam.
Meza kuu katia hafla ya Uzinduzi wa siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia iliyofanyia jijini Dar es Salaam ikiwa imesimama kuimba wimbo wa taifa.
Meza kuu katia hafla ya Uzinduzi wa siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia iliyofanyia jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya vikundi mbalimbali vikiingia kwa maandamano katika hafla ya Uzinduzi wa siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia iliyofanyia jijini Dar es Salaam.