Bango la tamasha likiwa limebandikwa mahala pake kama kawaida.
jukwaa la muziki likiwa bado kwenye maandalizi
Nyomi ilikuwa inaongezeka kadri muda unavyokwenda…
Ghana!
Waghana nao walikuwepo kuuenzi utamaduni wao
Ngoma
Ngoma!
Mwanadada wa kiafrika akitoa dozi
Kikosi maalum cha ngoma kutoka Afrika Magharibi kikitumbuiza
Banda la Kameruni
Banda la Madagascar
Nyama choma!
Jambo!
Banda la “Jambo” nalo lilikuwepo, ajili ya kuuza vinywaji na vitafunwa safiii
Wateja
Waafrika wa Brazili pia walikuwepo kuuza Mikia ya Jogoo (cocktails)
Mashabiki
Baadhi ya bidhaa
mashabiki
mashabiki wakiwa mlango na wengine wakielekea ndani
Bango mbele ya lango la kuingilia
Bango
Tamasha hili linafikia tamati leo tarehe 20/7/2014, baada ya kuanza tarehe 17/7/2014. Tamasha hili hufanyika kila mwaka hapa jijini Tuebingen, Ujerumani, ambapo waafrika hutumia fursa hii kuonyesha utamaduni wao kupitia bidhaa mbalimbali, ikiwemo miziki.
Picha na habari: dev.kisakuzi.com, Tuebingen, Ujerumani