
Msanii Kutoka Nchini Kenya Nameless akifanya Show iliyowavutia Wadau wengi kwenye Tamasha hilo la STR8 Music Inter College Special katika Viwanja vya Royal Village.

Umati uliofurika katika Show ya STR8 Inter College Special 2011 iliyofanyika Viwanja Vya Royal Village Mjini Dodoma usiku wa kuamkia leo ukiburudika.
Picha zote kwa hisani ya Blog ya Lukaza