
Hayo ni mavazi ya bibi na bwana kutoka Afrika.

Binti mrembo kutoka Afrika magharibi akipita na kivazi chake…

Na huyu mrembo nae alikuwepo kuonyesha vazi lake.

…mwingine katika pozi la nguvu!

Huyu ni mmoja wa wale wazungu, ambao huwaelezi kitu kuhusu Afrika, yaani huyu ni Afrika dam dam!! Nae alikuwepo kwenye fasheni shoo…

“Bibi na Bwana” walirudi kivingine tena….

…na hapo?

…mapozi yaliendelea…

…bado hayajaisha…tulia!

Watu walikuwa wakumwaga!
Picha na Habari, na dev.kisakuzi.com, Tuebingen, Ujerumani