Taifa Stars Kutimkia Muscat Oman,TFF Yataja Waamuzi

Msemaji TFFTIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuondoka nchini siku ya jumamosi usiku kuelekea Muscat Oman, kucheza mchezo wa kirafiki kabla ya kuunganisha kuelekea Istambul Uturuki kwa kambi ya wiki moja.
Taifa Stars imepata mwaliko wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Oman tarehe 24 Agosti, 2015 usiku, ambapo baada ya mchezo huo timu itasafiri kuelekea nchini Uturuki katika jiji la Istambul.
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Oman (OFA) liliomba kucheza mchezo wa kirafiki na Taifa Star kabla ya kuwavaa Turkemebistan katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa Kombe la Dunia Septemba 03, 2015 kwa bara la Asia, ambapo kocha wake mkuu Mfaransa Paul Leguen aliomba kucheza na vijana wa Charles Mkwasa kujiandaa na mechi hiyo.
Mara baada ya mchezo huo Taifa Stars itaelekea Istambul katika mji wa Kocael hoteli ya Kartepe kwa kambi ya wiki moja, ikiwa nchini Uturuki Stars inatarajiwa kucheza michezo miwili ya kirafiki kabla ya kurejea nchini kucheza na Nigeria Septemba 05, 2015 mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika.
Kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwasa anatarajiwa kutoa orodha ya kikosi chake cha wachezaji 22 mwishono mwa wiki watakaosafiri kuelekea nchini Uturuki kwa kambi ya hiyo ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria.
Mshambuliaji Adi Yussuf anayechezea klabu ya Mansfield Towny ya Uingereza alitarajiwa kujiunga na timu nchini Uturuki, lakini kutokana na majeruhi aliyoyapata hivi karibuni katika michezo ya ligi, uongozi wa Mansfield umeomba mchezaji huyo kutojiunga na timu ya Taifa kwa ajili ya kupata mataibabu zaidi.
Adi aliumia wiki iliyopita katika mchezo dhidi ya Nottingham Forest ambapo kwa sasa anaendelea na matibabu chini ya uangalizi wa klabu hiyo, na pindi atapokuwa fit atapata nafasi ya kujumuika na kuitumika timu ya Taifa ya Tanzania.
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael Magoli (Dsm), Simon Mberwa (Pwani), Livingstone Lwiza (Kagera), Ngole Mwangole (Mbeya).
Steven Makuka (Iringa), Florentina Zabron (Dodoma), Jacob Adongo (Mara), Mathew Akrama (Mwanza) Jonesia Rukyaa (Kagera), Sophia Mtogori (Mara), Ahmad Seif (Pwani), Allawi Omary (Kigoma), Andrew Shamba (Dsm), Isihaka Shirikisho (Tanga), David Paul (Mtwara), Mohamed Theofili (Morogoro), Mary Kapinga (Rukwa), Dominic Nyamisana (Dodoma), Erick Onoka (Arusha) na Kennedy Mapunda (Dsm).
WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Kupata orodha kamili ya waamuzi wa Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza. Waamuzi hao ni pamoja na;
Haji Mwalukita (Tanga) Julius Kasitu (Shinyanga), Ferdinand Chacha (Mwanza), Frank Komba (Dsm), Abdallah Selega (Dsm), Catherine Thobias (Dsm), Kudura Omary (Tanga), Hassan Zani (Arusha), Abdallah Uhako (Arusha), Kassim Mpanga (Dsm), Hussein Amiri (Mtwara), John Kanyenye (Mbeya), Charles Simon (Dodoma), Vicent Mabo (Morogoro), Godfrey Kihwili (Arusha), Michael Mkongwa (Njombe), Abdallah Rashid (Dsm), Shafii Mohamed (Dsm), Yusuf Sekile (Songea) Josephat Bulali (Tanga), Said Mnonga (Mtwara), Lulu Moshi (Dsm), Mirambo Tshikungu (Songea), Robert Luhemeja (Mwanza), Hellen Mduma (Dsm).
Joseph Majisa (Mwanza), Mashaka Mwandemba (Mbeya), Mohamed Mkono (Tanga), Gasper Ketto (Arusha), Martin Mwalyaje (Tabora), Ezekiel Mboyi (Shinyanga), Florentina Zabron (Dodoma) Agness Pantaleo (Arusha), Sophia Mtongoli (Mara), Yahaya Ally (Mara), Hussein Kalindo (Dsm), Rashid Zongo (Iringa), Janeth Balama (Iringa), Sylivester Mwanga (Kilimanjaro), Samwel Mpenzu (Arusha), Abdallah Mkomwa (Pwani), Abbas Omary (Mbeya), Grace Wamala (Kagera), Abdallah Shaka (Tabora), Anold Bugado (Singida), Halfan Sika (Pwani) na Joseph Pombe (Shinyanga).
Waamuzi wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL) walioteuliwa ni Elly Sasii (Dsm), Baraka Poka (Dsm), Kefa Kayombo (Mbeya), Innocent Mwalutamile (Dsm), Omary Yusuph (Dsm), Mwanahamis Matike (Dsm), Mustafa Lupenza (Njombe), Emmanuel Mwandembwa (Arusha), Ezekiel Mboyi (Shinyanga), Rajabu Jumanne (Dsm), Masoud Mkelemi (Dsm), Alphaxad Mtete (Songea), Benedict Magai (Mbeya), Alelick Ngonyani (Iringa), Selemani Kinugani (Morogoro), Ismail Manzi (Tanga), John Mafuru (Mbeya), Musa Maswaga (Dodoma), Brsyon Msuya (Dodoma), Nestory Chiga (Dsm), Isihaka Mwalile, Alfred Vitalis (Moshi), Rajab Mrope (Songea), Said Pambaleo (Dsm), Lwila Gilimbu (Mbeya), Sudi Hussein (Kigoma) Iddi Mkongoti (Dsm),
Augostino Mapalala (Geita), Jimmy Fanuel (Musoma), Ahmad Seif (Pwani), Salehe Mang’ola (Dodoma), Hassan Abdallah (Pwani), Nassoro Mwichui (Pwani), Ludovick Charles (Bukoba), Mbaraka Almasi (Mwanza), Hance Mabena (Tanga), Steven Makuka (Iringa), Maulid Mwikalo (Tabora), Livingstone Lwiza (Bukoba), Shomari Lawi (Kigoma), Mussa Magogo (Mwanza), Liston Hiari (Dsm), Erick Onoka (Arusha), Jafari Mchilla (Dsm), John Ngonyani (Morogoro), Msewa Rwambo (Morogoro), Said Issa (Singida), Klina Kabala (Dsm), Michael Mgaoli (Dsm), Mwabonile (Dsm), Seleman Kinugani (Morogoro), Ferydia Machunde (Tabora), Clement Ntambi (Mwanza), Thomas Mkombozi (Moshi), Said Ndege (Dsm) na Peter Mujaya (Mwanza).
WAAMUZI WASAIDIZI WA LIGI DARAJA LA KWANZA (FDL)
John Gabriel (Mbeya), Phileon Mboje (Mwanza), Emmanuel Muga (Morogoro), Dennis Maneva (Morogoro), Silvernus Ikune (Morogoro), Elly Shayo (Morogoro), Mrisho Bakari (Mbeya), Amdani Said (Dsm), Hamis Pondamali (Dsm), Abubakar Mikidadi (Dsm), Greyson Kadebe (Dsm), Abdulazizi Ally (Arusha), Enock Mwanyonga (Arusha), Said Mzuzuri (Pwani), Rajab Tozo (Pwani), Hussein Ameir (Mtwara), Ahmada Kidodi (Pwani), Msafiri Kitemi (Pwani), Abdul Islam (Dsm), Salum Njechele (Pwani), Hamis Cheyo (Songea),Nicholous Makaranga (Morogoro), Hamis Wangare (Dsm), Moshi Hamisi (Dsm), Msafiri Kitemi (Pwani), Mwarabu Mumba (Morogoro), Ephraim Mkumbukwa (Tanga), Agnes Alphonce (Dsm), Bahati Mapesi (Dsm), Kassim Safisha (Pwani), Nickson Haule (Pwani), Othman Othman (Pwani), Charles Mwamlima (Mbeya), Alex Thomas (Arusha).
Wengine Fadhil Mtawwanya (Arusha), Mohamed Juwaji (Pwani), Farashuu Mohamed (Pwani), Omary Juma (Dodoma), Hashim Mgimba (Iringa), Hamidu Mkwimba (Iringa), Jumanne Njige (Mwanza), Justina Charles (Tabora), John William (Dodoma), Lwila Gilimbu (Mbeya), Iddy Mpingo (Pwani), Omary Matemela (Pwani), Elias Oliech (Mara), Makore Ntagenda (Mara), Samson Kobe (Dar), Nestory Livangala (Tabora), Rebeka Mulokozi (Shinyanga), Abdul Mwishehe (Dsm), Grayson Banyeza (Bukoba), Iganas Mwarabu (Mwanza), Geofrey Msakila (Geita), Daud Matwi (Tabora), Jafet Kasililwa (Sumbawanga), Jamada Amada (Kagera), Edga Lyomba (Kagera), Grayson Buchard (Kagera), Hamid Mohamed (Dar), Hamis Musa (Dar), Hussein Walii (Mtwara), Innocent Mwalutanire (Dar), Emmanuel Mamba (Dodoma), Daudi Bahiganyi (Kigoma), Ephrony Ndisa (Dsm).