Taharuki Mv Kigamboni, Yapoteza Mwelekeo Leo

Wananchi wakilitazama Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari baada ya kutaka kushusha abiria na magari upande wa Kigamboni.

Wananchi wakilitazama Mv. Kigamboni baada ya kupoteza mwelekeo na kushindwa kushusha abiria na magari baada ya kutaka kushusha abiria na magari upande wa Kigamboni.

 Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni likiwemo gari maalumu
la kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na lilipofika jirani na gati upande wa Magogoni lilipoteza mwelekeo kwa dakika kadhaa hatimaye kushusha upande wa magogoni.  
(Picha na Khamisi Mussa)