Bondia Zumba Kukwe Kuzichapa na Sweet Kalulu

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini na machachali ulingoni, Zumba Kukwe “Chenji dola” anatarajia kupanda ulingoni Alhamisi Novemba 27, 2014 kuzipiga na bondia mkongwe, Sweet Kalulu katika ukumbi wa Kontena uliopo Kibaha Maili Moja. Taarifa zinasema mabondia hao watacheza pambano la raundi nane, lisilo la ubingwa na mshindi kati yao atacheza na mshindi kati ya mabondia, Thomas Mashali na Dula …