Mahakama Kuu Yatupa Ombi la Zuio Bunge la Katiba

HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imelifukuza mahakamani ombi dogo la Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea lilokuwa likiiomba Mahakama hiyo itoe amri ya zuio la muda la kulizuia Bunge Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake Dodoma lisiendelee na vikao vyake hadi Kesi ya Msingi aliyofungua mahakamani hapo itakaposikilizwa na kuamriwa. Uamuzi huo umetolewa Leo na jopo la …