MWAKA 2014 nimesoma vitabu 53 na nimefanya uchambuzi wa vitabu 21 kupitia safu ya Kitabu na Kalamu ya gazeti la Raia Tanzania kila Jumatatu. Tangu nimeanza utaratibu kuchapisha idadi ya vitabu nilivyosoma huu ni mwaka wa tatu sasa. Mwaka 2012 nilisoma vitabu 31, mwaka 2013 vitabu 13 na 2014 vitabu 53. Mwaka 2014 niliuanza kwa changamoto nyingi sana katika maisha …
Diva aweka hadharani email kutoka kwa Zitto Kabwe
Jionee mwenyewe email inayosadikika kutoka kwa Zitto Kabwe kwenda kwa Diva
Maoni ya Zitto Kabwe Akichangia Rasimu ya Katiba Sura ya 1 na 6
KAMATI 12 za Bunge lako tukufu zimeleta Taarifa zake mbele yetu kwa ajili ya maboresho ya Rasimu ya Katiba ili kupata katiba inayopendekezwa itakayopelekwa kwa Wananchi. Maoni ya Kamati yamegawanyika katika aina Kuu 2, maoni ya walio wengi na maoni ya walio wachache. Ndani ya Bunge hili majadiliano pia yamekuwa yenye mwelekeo huo huo na kwa kweli hakuna majadiliano bali …
Zitto Kabwe – Tuboreshe Rasimu Iliyopo
Na Zitto Kabwe, MB WIKI ya Machi 18 – 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge Maalumu la Katiba. Wiki hiyo imeishia kwa siku ya Ijumaa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndugu Jakaya Mrisho …
- Page 2 of 2
- 1
- 2