Viongozi wa Chadema Jimbo la Kawe Wakimbilia ACT

BAADHI ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema kutoka Jimbo la Kawe wamekihama chama hicho na kukimbilia Chama cha ACT, Wazalendo. Akizungumza jana na wanahabari, Naibu Katibu Mkuu, ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa alisema wamewapokea viongozi hao na kuwagawia kadi za chama chao. Alisema tukio hilo la kupokea wanachama lukuki pia linaendelea katika mikoa mbalimbali nchini. Aliwataja viongozi toka …

Zitto Azindua ACT Dar

   Mwenyekiti wa Chama cha  Alliance for change and Transparecy (ACT)  Anaa Elisha, akiwasalimia wanachama kwa Salam ya chama hicho  Kikundi cha Ngoma ya Asili ya Kutoka Kigoma kwa jina maarufu kwa Mkoa huo wa kigoma inaitwa Usambere ikitoa burudani katika uzinduzi huo Wanachama wa chama hicho kwa makundi mbalimbali wakiingia katika ukumbi kwa nyakati tofauti Wafuasi wa Chama hicho …