Dk Bilal Aanza Ziara ya Kikazi Nchini Japan

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameanza leo ziara ya Kikazi nchini Japan, ziara inayolenga kuongeza ushirikiano baina ya Japan na Tanzania ikizingatia maeneo ya uwekezaji na ubadilishaji wa teknolojia baina ya nchi hizi mbili. Makamu wa Rais baada ya kuwasili nchini hapa na kukutana na viongozi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Japan ulio chini ya Balozi …